• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • M.M.M |
    • Barua pepe |
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Utumishi
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Kilimo na Umwagiliaji
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Idara ya Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Mifugo na Uvuvi
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu,Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba
      • Ratiba ya Kuonana na Mhe. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Timu za Uhamasishaji Zatakiwa Kutoa Elimu ya Kutosha

Imewekwa: November 30th, 2022

Mkuu wa Wilaya ya Bukombe Mhe. Said Nkumba amezitaka timu za uhamasishajishaji kuhakikisha zinatoa elimu ya kutosha kwa jamii ili watoto wote wenye umri chini ya  miaka 5 waweze kupata chanjo ya Matone ya Polio.

" Hakikisheni mnawahamasisha wazazi /walezi ili wawapeleke watoto wao kupatata chanjo hiyo muhimu."

Nkumba ameyasema hayo leo tarehe 30 Desemba, 2022  katika kikao cha Kamati ya Afya ya Msingi ya Wilaya ya Bukombe cha kupitia malengo ya kampeni ya chanjo ya matone  awamu ya nne kwa watoto wote wenye  umri chini ya miaka mitano.

Aidha Nkumba amesema hatua kali za kisheria zitachukuliwa  kwa mtu yoyote atakayekwamisha zoezi hilo.

" Ole wake mtu yoyote atakayekwamisha zoezi hili muhimu la  Kitaifa kwani hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi yake."

Akiongea katika kikao hicho Mganga Mkuu wa Wilaya Dr.Deograsia Mkapa amesema chanjo ya matone ya Polio  inatolewa bure kuanzia tarehe 1 /12/2022 hadi tarehe 4/12/2022 katika vituo vyote vya serikali na binafsi vya kutolea huduma za afya  na nyumba kwa nyumba na vituo vyote vitakuwa wazi kuanzia saa 02:00  asubuhi hadi saa 12:00 jioni.

Katika halmashauri ya Wilaya ya Bukombe takribani watoto 107, 897 wanatarajia kupata chanjo ya Matone ya Polio.

"Hatuwezi kutibu Polio lakini tunauwezo wa kuzuia." "MPE MATONE OKOA MAISHA"


Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WASIMAMIZI WA VITUO, WASIMAMIZI WASAIDIZI NA MAKARANI WALIOCHAGULIWA KUSHIRIKI UCHAGUZI MKUU 2025 October 21, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO YA 10% October 07, 2024
  • TANGAZO LA MAJINA NA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 16, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • WALIMU WA MICHEZO FUATENI RATIBA ZA MICHEZO MASHULENI- DED MFIKWA.

    October 10, 2025
  • KITUO CHA AFYA NAMONGE CHA KABIDHIWA GARI LA WAGONJWA

    October 08, 2025
  • DED MFIKWA AFANYA KIKAO NA WATUMISHI,AWASISITIZA KUTEKELEZA MAJUKUMU YAO IPASAVYO

    October 06, 2025
  • BUKOMBE YAPOKEA DOZI 250,000 ZA UGONJWA WA HOMA YA MAPAFU KWA NG'OMBE.

    September 30, 2025
  • Tazama zote

Video

UMISSETA BUKOMBE WAAHIDI KURUDI NA USHINDI
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mfumo wa Bajeti(Planrep)
  • Mfumo wa Fedha Vituo vya kutoa huduma(FFARS)
  • MTUHA
  • Maktaba ya Picha
  • Ramani ya Bukombe
  • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Ushirombo

    Sanduku la Posta: S.L.P 02

    Simu ya Mezani: 028 2520704

    Simu ya mkononi: +255 (0) 622 295619

    Barua Pepe: ded@bukombedc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • M.M.M
    • Mpangilo wa Tovuti
    • Service

Hatimiliki(c) 2017 Halmashauri ya Bukombe. Haki zote zimehifadhiwa

  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Toto Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Toto Togel
  • Situs Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • KOI200
  • Slot Gacor
  • DORA77
  • Toto Slot
  • DORA77
  • Toto
  • DORA77
  • DORA77
  • AXL777
  • AXL777
  • KOI200
  • KOI200
  • NABITOTO
  • NABITOTO
  • NABITOTO
  • NABITOTO
  • AERO88
  • AXL777
  • AXL777
  • DORA77
  • DORA77
  • AXL777
  • AXL777
  • situs toto
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Situs Toto
  • KOI200
  • Toto Slot Gacor
  • AERO88 Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • AERO88
  • Situs Toto
  • situs toto
  • slot gacor
  • situs toto
  • yamitoto
  • kudetabet98
  • kudetabet98