• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • M.M.M |
    • Barua pepe |
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Utumishi
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Kilimo na Umwagiliaji
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Idara ya Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Mifugo na Uvuvi
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu,Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba
      • Ratiba ya Kuonana na Mhe. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Kamati ya Elimu,Afya na Maji

KAMATI YA  ELIMU,  AFYA NA MAJI

NA
JINA
CHEO
WADHIFA
1
Mhe.Leokadia Kasase
Diwani V/Maalumu
Mwenyekiti
2
Mhe. Paul Mhangwa
Diwani kata ya Katome
Mjumbe
3
Mhe. Richard Mabenga
Diwani kaya ya Igulwa
Mjumbe
4
Mhe.Kipara Siyantemi
Diwani kata ya Ng'anzo
Mjumbe
5
Mhe. Elizabeth Ngasa
Diwani V/Maalumu
Mjumbe
6
Mhe. Rozalia B.Masokola
Diwani kata ya Bukombe
Mjumbe
7
Mhe. Mary S.Nchiba
Diwani V/Maalumu
Mjumbe
8
Mhe. Amos Herman Shimo
Diwani kata ya Butinzya
Mjumbe
9
Mhe. Erick Kagoma
Diwani kata ya Bulega
Mjumbe
10
Mhe.Yusuph Mohamed
Diwani kata ya Bulangwa
Mjumbe
11
Mhe. John Nguhi
Diwani kata ya Runzewe Magharibi
Mjumbe

Majukumu ya jumla

Kushughulikia mambo yote yanayohusu Afya ya jamii,Elimu na Maji.Kamati hii pia inashughulikia mambo yanayohusiana na jitihada za wananchi vijijini kujiletea maendeleo yao kwa kutumia mbinu mbalimbali ikiwa ni pamoja na kushauri,kushawishi,kuzindua,kuelimisha na kushirikisha wananchi hao hasa katika kutayarisha,kutekeleza,kusimamia na kuthibiti mipango yao ya maendeleo

Majukumu maalumu ya kamati

  • Kuandaa mipango madhubuti ya maendeleo ya upanuzi na ujenzi wa Hosptal,vituo ya Afya na Zahanati.
  • Kuandaa mipango ya maendeleo ya upanuzi wa Shule za Awali na Msingi na Elimu ya watu Wazima kwa mujibu wa Sheria ya Elimu ya 1978 kama ilivyorekebishwa mwaka 1995.
  • Kupendekeza mipango ya ujenzi au upanuzi wa vituo,viwanja,majengo na mazingira ya burudani,starehe,mapumziko na michezo.
  • Kuamua juu ya mambo yanayohusu uhifadhi wa mambo ya kale na mandhari mbalimbali yenye sura nzuri.
  • Kuandaa na kuratibu njia bora juu ya uhifadhi wa nyaraka muhimu kwa ajili ya kumbukumbu hizo zitahifadhiwa kwa mujibu wa Sheria ya Serikali  za Mitaa sura 288.
  • Kupendekeza njia bora juu ya uhifadhi wa Sanaa mbalimbali za ufundi na maonyesho kwa mujibu wa Sheria ya Serikali za Mitaa Sura ya 288.
  • Kupendekeza matumizi mazuri ya Lugha ya Taifa.
  • Kupendekeza namna ya malezi ya vijana ili waweze kuwa wazalishaji katika Taifa.
  • Kupendekeza Sheria Ndogo zinazohusu kamati hii.

Matangazo

  • Orodha ya Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga Kidato cha Kwanza Mwaka 2021,Mkoa wa Geita. December 18, 2020
  • Tanzia July 02, 2020
  • Matokeo ya Kidato cha Sita 2020 August 21, 2020
  • Tangazo la Nafasi za Kazi za Muda September 22, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Taarifa ya utekelezaji wa mpango wa maendeleo wa Halmashauri ya Bukombe kwa mwaka 2020/2021

    November 10, 2020
  • DC Nkumba atoa pongezi kwa NHIF

    August 30, 2020
  • DC Nkumba aishukuru Benki ya NMB

    August 29, 2020
  • "Uchaguzi hausimamishi shughuli za Maendeleo" DC Nkumba

    August 21, 2020
  • Tazama zote

Video

Mweka Hazina na Wahasibu watakiwa kutimiza wajibu wao
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mfumo wa Bajeti(Planrep)
  • Mfumo wa Fedha Vituo vya kutoa huduma(FFARS)
  • MTUHA
  • Maktaba ya Picha
  • Ramani ya Bukombe
  • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Ushirombo

    Sanduku la Posta: S.L.P 02

    Simu ya Mezani: 028 2520704

    Simu ya mkononi: +255 (0) 622 295619

    Barua Pepe: ded@bukombedc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • M.M.M
    • Mpangilo wa Tovuti
    • Service

Hatimiliki(c) 2017 Halmashauri ya Bukombe. Haki zote zimehifadhiwa