• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • M.M.M |
    • Barua pepe |
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Utumishi
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Kilimo na Umwagiliaji
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Idara ya Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Mifugo na Uvuvi
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu,Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba
      • Ratiba ya Kuonana na Mhe. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

CHANJO NA UTAMBUZI WA MIFUGO KUWANUFAISHA WAFUGAJI- DKT. KIJAJI.

Imewekwa: July 7th, 2025

Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji amewataka wafugaji kupeleka mifugo yao kupata Chanjo na kufanyiwa Utambuzi ili kuongeza thamani ya mifugo na kutanua wigo wa masoko ndani na nje ya nchi.

Rai hiyo ameitoa Julai 06, 2025 wakati wa Ziara yake ya ukaguzi wa utekelezaji wa kampeni hiyo katika Kijiji cha Kazibizyo Kata ya Ng’anzo Wilayani Bukombe ambapo amewasisitiza wafugaji kupeleka mifugo yao kwa wingi ili waweze kunufaika na huduma hiyo muhimu.

“Ili mifugo iwe na thamani pamoja na ubora wa kimataifa ni lazima ichanjwe dhidi ya magonjwa, kuoshwa na kutibiwa, hii itaondoa umasikini kwa wafugaji na taifa kwa ujumla”.

Aidha Dkt. Kijaji amesema kuwa zoezi la utambuzi wa mifugo litawasaidia wafugaji kuondokana na changamoto ya wizi wa mifugo yao kwani kila mfugo utatambuliwa na namba maalum zinazopatikana kwenye hereni za kielektroniki.

Kwa upande wake Mkuu wa Mkoa wa Geita Mhe. Martine Shigela ameipongeza Wizara na Serikali kwa kuwawezesha wataalam wa mifugo kupata vitendea kazi vinavyowawezesha kutekeleza majukumu yao kwa urahisi.

“Sisi kama mkoa tutahakikisha tunasimamia utekelezaji wa zoezi hili na tutafanikisha kuchanja zaidi ya asilimia 70 ya mifugo yote ndani ya miezi miwili ya kampeni hii” alisema Shigela.

Kampeni hii ya Kitaifa ya Chanjo kwa mifugo ilizinduliwa rasmi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan Juni 16, 2025 Mkoani Simiyu.

Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 February 10, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO YA 10% October 07, 2024
  • TANGAZO LA MAJINA NA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 16, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • CHANJO NA UTAMBUZI WA MIFUGO KUWANUFAISHA WAFUGAJI- DKT. KIJAJI.

    July 07, 2025
  • BUKOMBE DC YAZINDUA CHANJO YA KUKU (TATU MOJA).

    July 03, 2025
  • NENDENI MKAFANYE MAGEUZI MAKUBWA KWENYE SEKTA YA MIFUGO-DC MURAGILI.

    June 24, 2025
  • MKUTANO WA BARAZA LA MADIWANI KUJADILI HOJA ZA MDHIBITI NA MKAGUZI WA HESABU ZA SERIKALI

    June 16, 2025
  • Tazama zote

Video

UMISSETA BUKOMBE WAAHIDI KURUDI NA USHINDI
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mfumo wa Bajeti(Planrep)
  • Mfumo wa Fedha Vituo vya kutoa huduma(FFARS)
  • MTUHA
  • Maktaba ya Picha
  • Ramani ya Bukombe
  • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Ushirombo

    Sanduku la Posta: S.L.P 02

    Simu ya Mezani: 028 2520704

    Simu ya mkononi: +255 (0) 622 295619

    Barua Pepe: ded@bukombedc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • M.M.M
    • Mpangilo wa Tovuti
    • Service

Hatimiliki(c) 2017 Halmashauri ya Bukombe. Haki zote zimehifadhiwa