- Mwanzo
- Kuhusu Sisi
-
Utawala
- Muundo wa Taasisi
-
Idara
- Idara ya Utawala na Utumishi
- Idara ya Fedha na Biashara
- Idara ya Afya
- Idara ya Elimu Sekondari
- Idara ya Elimu Msingi
- Idara ya Maji
- Idara ya Kilimo na Umwagiliaji
- Idara ya Mifugo na Uvuvi
- Idara ya Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
- Idara ya Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
- Idara ya Ardhi na Maliasili
- Idara ya Maendeleo ya Jamii
- Idara ya Ujenzi na Zimamoto
- Vitengo
- Fursa za Uwekezaji
- Huduma Zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari



Aidha Diwani wa Kata ya Lyambamgongo Boniphance Shitobelo ambae alikuwa mgeni rasmi katika kukabidhi zawadi za washindi wa kata hiyo ambazo ni seti moja ya jezi na mpira mmoja kwa mshindi wa kwanza, mshindi wa pili Kagwe fc walipewa mpira mmoja. Shitobelo akikabizi zawadi alisema katika kata hiyo kulikuwa na timu nne zilizoshiriki katika mashindano hayo Small tiger fc, Ifunde fc, Kagwe fc na Ishololo fc ikiwa timu iliyo shinda ngazi ya Kata ni Small tiger fc na ushindi huo itaenda kukutana na timu nne mabingwa wa Kata zingine ngazi ya Tarafa ya Bukombe.Shitobelo aliwataka wachezaji kuwa na ushirikiano na timu zilizo shindwa ilikuongeza nguvu na kutwaa ubingwa kwa ngazi inayofuata.



