• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • M.M.M |
    • Barua pepe |
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Utumishi
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Kilimo na Umwagiliaji
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Idara ya Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Mifugo na Uvuvi
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu,Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba
      • Ratiba ya Kuonana na Mhe. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Kilimahewa yatwaa Ubingwa DOTO CUP 2019

Imewekwa: August 24th, 2019


TIMU ya Kilimahewa fc ya kata ya Katente tarafa ya Ushirombo wilaya ya Bukombe mkoa wa Geita, imetwaa kwa mara ya kwanza ubingwa wa ligi ya Doto Cup 2019 kwa kuichapa timu ya Runzewe Academy goli 2-1 katika faina iliyofanyika katika uwanja wa kilimahewa.


Waziri wa Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu Mhe.

Jenista Mhagama






Mfungaji wa magoli ya timu ya Kilimahewa fc Fc  Hamis Julius aliwanyanyua mashabiki wake baada ya kuingiza kimiani bao la kwanza dakika ya 62 na dakika ya 67 aliongeza bao lingine hadi ambali lilidumu hadi kipenga cha mwisho.Mfungaji wa goli la timu ya Runzewe Academy lilifungwa na Rashidi Sanga dakika ya 13 ambalo lilidumu na kuwa la kufutia machozi timu hiyo ilisha wahi kuchukuwa ubingwa wa Doto Cup misimu miwili 2016 na 2017 mwaka 2018 kombe hili lilichukuliwa na timu Ushirombo Rengezi  2019 limebaki mjini tena Kilimahewa fc.

Mdhamini  wa mashindano bunge wa Jimbo la Bukombe pia waziri wa Madini Doto Biteko katika hafla ya kukabidhi zawadi za washindi aliwasii vijana wa timu 165 zilizoshiriki  katika mashindano hayo yaliyozinduliwa Julai 5 mwaka huu na kufika tamati Agosti 24 kuhakikisha kuwa wanaendeleza vipaji vyao  vilivyoibuliwa na kutumia fursa hiyo kupata ajira.“Kupitia ligi hii timu zilizoshiriki ni 165 walioshinda na walioshinda wote muwe wamoja katika kuendeleza  urafiki   na vipaji  ambavyo  niajira,” Alisema Biteko.

Mgeni rasmi Waziri wa nchi, ofisi ya Waziri mkuu, (sera, Bunge, kazi, ajira na wenye ulemavu) Jenista Mhagama alisema kuwa iwapo vijana watafuata kanuni, taratibu na sheria za mpira wa miguu kazi hiyo ni ajira rasmi siyo ya kubezwa.Mhagama licha ya kumpongeza Mbunge Biteko alisema kuwa ligi hiyo ya Doto Cup kama itaendelezwa vijana wanaweza kuepukana na vishawishi vya kujiunga na makundi mabaya kama ya uvutaji wa madawa ya kulevya hali ambayo itapelekea kupata magonjwa mengine ya kuambukiza kama UKIMWI.

Katika hafla hiyo pia  Mhagama aliweza kukabidhi zawadi kwa mshindi wa kwanza Kilimahewa Fc kiasi cha shilingi Milioni 1, mipira mitatu na jeshi seti tatu huku mshindi wa pili ambaye ni Runzewe Academy alikabidhiwa shilingi 500,000, mipila miwili na jezi seti mbili na mshindi wa tatu Sinamila FC alikabidhiwa shilingi 200,000 na mpira mmoja huku Chui Fc mambaye ni mshindi wa nne aliambulia seti moja ya jezi na mpira mmoja.Kauri mbiu ya ligi hiyo ilikuwa ni “Kusema na kutenda.


Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 February 10, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO YA 10% October 07, 2024
  • TANGAZO LA MAJINA NA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 16, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • WANANCHI WAJITOKEZA KUBORESHA TAARIFA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • DC MURAGILI AHAKIKI TAARIFA ZAKE KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • MAADHIMISHO YA MEI MOSI MKOA WA GEITA.

    May 02, 2025
  • MAAFISA WAANDIKISHAJI WASAIDIZI WAPATIWA MAFUNZO

    April 29, 2025
  • Tazama zote

Video

WANAWAKE BUKOMBE WASHIRIKI UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI YA AMALI DOTO BITEKO.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mfumo wa Bajeti(Planrep)
  • Mfumo wa Fedha Vituo vya kutoa huduma(FFARS)
  • MTUHA
  • Maktaba ya Picha
  • Ramani ya Bukombe
  • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Ushirombo

    Sanduku la Posta: S.L.P 02

    Simu ya Mezani: 028 2520704

    Simu ya mkononi: +255 (0) 622 295619

    Barua Pepe: ded@bukombedc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • M.M.M
    • Mpangilo wa Tovuti
    • Service

Hatimiliki(c) 2017 Halmashauri ya Bukombe. Haki zote zimehifadhiwa