• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • M.M.M |
    • Barua pepe |
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Utumishi
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Kilimo na Umwagiliaji
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Idara ya Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Mifugo na Uvuvi
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu,Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba
      • Ratiba ya Kuonana na Mhe. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

"Uchaguzi hausimamishi shughuli za Maendeleo" DC Nkumba

Imewekwa: August 21st, 2020

Mkuu wa Wilaya Mhe.Said Nkumba amewaambia viongozi wa vijiji na kata kuhakikisha wanawashirikisha wananchi kushiriki kwenye ujenzi wa miundombinu ya shule kipindi hiki cha uchaguni kwani uchaguzi  hausimamishi shughuli za maendeleo.

"Uchaguzi hausimamishi shughuli za maendeleo hakikisheni mnafanya kazi"

Nkumba ameyasema hayo tarehe 19 Agosti, 2020 wakati wa ziara yake ya uhamasishaji wa shughuli za maendeleo katika shule ya sekondari Bukombe iliyopokea kiasi cha shilingi milioni 226,600,000/=, Businda shilingi milioni 67,700,000/= na shule ya msingi shikizi ya Isabilo shilingi milioni 40,000,000/=.

Aidha Nkumba amewaagiza viongozi wa ulinzi na usalama wa kata kuhakikisha wanawachukulia hatua kali wale wote wanaogoma kushiriki katika shughuli za maendeleo.viburi 

"Kunawatu wanaviburi hawataki kushiriki shughuli za maendeleo Mkuu wa Kituo cha Polisi, Mtendaji wa Kata na Sungusungu hakikisheni mnawachukulia hatua"

Afisa elimu kata ya Bulega Majaliwa Mpemba amemuahakikishia Mkuu wa Wilaya kuwa watawahamasisha wananchi na kusimamia vizuri ujenzi wa miundombinu ya shule kwasababu wanauzoefu wa kutosha na watahakikisha fedha zinabaki kwa ajili ya kuanzisha miradi mwingine.

“Nikuhakikishie kwamba tutawahamasisha wananchi na kusimamia miradi, tutahakikisha tunasimamia vizuri na fedha zitabaki na zitaanzisha miradi mingine.”

Isack Traifon mwananchi wa kata ya Bukombe kwa niaba ya wananchi amemshukuru Serikali ya awamu ya tano  kwa kuwapatia fedha.

"Tunaishukuru sana Serikali ya Awamu ya Tano kwa kutupatia fedha, tunaahidi kutoa ushirikiano wakutosha kwasababu tunania ya kuboresha miundombinu ya shule."

Kwa mwaka wa fedha 2020/2021 Idara ya Elimu Sekondari ilipokea kiasi cha shilingi Millioni 294,300,000/= na Idara ya Elimu Msingi ilipokea kiasi cha shilingi Milioni 720,000,000/= kwa ajili ya ujenzi  wa miundombinu ya shule Wilayani Bukombe.

Matangazo

  • Orodha ya Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga Kidato cha Kwanza Mwaka 2021,Mkoa wa Geita. December 18, 2020
  • Tanzia July 02, 2020
  • Matokeo ya Kidato cha Sita 2020 August 21, 2020
  • Tangazo la Nafasi za Kazi za Muda September 22, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • WiLDAF Tunaomba mtanue eneo la Mradi

    March 13, 2021
  • DC Nkumba atoa pongezi kwa NHIF

    August 30, 2020
  • DC Nkumba aishukuru Benki ya NMB

    August 29, 2020
  • "Uchaguzi hausimamishi shughuli za Maendeleo" DC Nkumba

    August 21, 2020
  • Tazama zote

Video

Mweka Hazina na Wahasibu watakiwa kutimiza wajibu wao
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mfumo wa Bajeti(Planrep)
  • Mfumo wa Fedha Vituo vya kutoa huduma(FFARS)
  • MTUHA
  • Maktaba ya Picha
  • Ramani ya Bukombe
  • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Ushirombo

    Sanduku la Posta: S.L.P 02

    Simu ya Mezani: 028 2520704

    Simu ya mkononi: +255 (0) 622 295619

    Barua Pepe: ded@bukombedc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • M.M.M
    • Mpangilo wa Tovuti
    • Service

Hatimiliki(c) 2017 Halmashauri ya Bukombe. Haki zote zimehifadhiwa