• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • M.M.M |
    • Barua pepe |
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Utumishi
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Kilimo na Umwagiliaji
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Idara ya Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Mifugo na Uvuvi
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu,Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba
      • Ratiba ya Kuonana na Mhe. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

NENDENI MKAFANYE MAGEUZI MAKUBWA KWENYE SEKTA YA MIFUGO-DC MURAGILI.

Imewekwa: June 24th, 2025

Mkuu wa Wilaya ya Bukombe Mhe. Paskasi Muragili amewataka Maafisa Mifugo wa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe kuhakikisha wanafanya mageuzi makubwa ili waweze kuleta tija kwenye Sekta ya Kilimo.

Rai hiyo ameitoa leo tarehe 24 Juni, 2025 wakati wa hafla fupi ya kukabidhi pikipiki 11 kwa Maafisa Mifugo ngazi ya Kata kwa ajili ya kuwawezesha kusimamia na kuratibu Chanjo mbalimbali zinatotolewa kwa mifugo.

“Pikipiki hizi ziwe chachu katika utendaji kazi wenu na mkazitumie kwa malengo yaliyokusudiwa ili muweze kuwafikia wafugaji wengi”.

Aidha Muragili amesema kuwa tunakwenda kwenye zoezi la chanjo ya Mifugo kwa Nchi nzima hivyo pikipiki hizo zitumike vizuri kipindi ambacho zoezi hilo litakapoanza na zitunzwe vizuri ili ziweze kudumu kwa muda mrefu.

Kwa upande wake Mkuu wa Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Zedekiah Ossano ameishukuru Serikali ya awamu ya sita kwa kuimarisha Sekta ya Mifugo kwa kuwapatia vitendea kazi ambavyo vitaenda kuimarisha utendaji kazi.

Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 February 10, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO YA 10% October 07, 2024
  • TANGAZO LA MAJINA NA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 16, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • CHANJO NA UTAMBUZI WA MIFUGO KUWANUFAISHA WAFUGAJI- DKT. KIJAJI.

    July 07, 2025
  • BUKOMBE DC YAZINDUA CHANJO YA KUKU (TATU MOJA).

    July 03, 2025
  • NENDENI MKAFANYE MAGEUZI MAKUBWA KWENYE SEKTA YA MIFUGO-DC MURAGILI.

    June 24, 2025
  • MKUTANO WA BARAZA LA MADIWANI KUJADILI HOJA ZA MDHIBITI NA MKAGUZI WA HESABU ZA SERIKALI

    June 16, 2025
  • Tazama zote

Video

UMISSETA BUKOMBE WAAHIDI KURUDI NA USHINDI
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mfumo wa Bajeti(Planrep)
  • Mfumo wa Fedha Vituo vya kutoa huduma(FFARS)
  • MTUHA
  • Maktaba ya Picha
  • Ramani ya Bukombe
  • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Ushirombo

    Sanduku la Posta: S.L.P 02

    Simu ya Mezani: 028 2520704

    Simu ya mkononi: +255 (0) 622 295619

    Barua Pepe: ded@bukombedc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • M.M.M
    • Mpangilo wa Tovuti
    • Service

Hatimiliki(c) 2017 Halmashauri ya Bukombe. Haki zote zimehifadhiwa