• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • M.M.M |
    • Barua pepe |
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Utumishi
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Kilimo na Umwagiliaji
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Idara ya Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Mifugo na Uvuvi
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu,Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba
      • Ratiba ya Kuonana na Mhe. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Mradi wa BOOST kivutio kamati ya siasa wilaya.

Imewekwa: September 18th, 2023

Mradi wa BOOST unaotekelezwa katika kata ya Bulangwa wawakivutio kwa kamati ya Siasa Wilaya baada ya wajumbe kutembelea na kukagua utekelelezaji wa mradi huo.

Akiongea katika ziara hiyo  Mwenyekiti wa CCM (W) ya Bukombe  Ndg. Matondo kihanda Lutonja alisema mradi huo wa BOOST umekidhi viwango na ubora.

"Mradi huu umetuvutia sana kwani umetekelezwa kwa uwazi wa matumizi ya fedha  na umekidhi viwango na ubora ambao serikali imekusudia."

Aidha wajumbe wa kamati hiyo walisema, Wakuu wa Divisheni na Vitengo wa Halmashauri  wamekuwa wakikitendea haki Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa usimamizi mzuri wa miradi ya maendeleo.

Kwa upande Mkuu wa Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi Marycelina Mbehoma  alimesema jumla ya shilingi 313,200,000 zimetumika kwa ajili ya ujenzi wa vyumba 12 vya madarasa, vyoo matundu 6.

Aidha Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe Lutengano Mwalwiba amesema ushauri pamoja na mapendekezo yote yaliyotolewa na kamati yatafanyiwa kazi kwa ajili ya ustawi wa halmshauri.

Mradi wa kuimarisha ufundishaji na ujifunzaji kwa shule za Awali na Msingi Tanzania Bara BOOST ni sehemu ya mpango wa Lipa kulingana na Matokeo EP4R  na unachangia utekelezaji wa mpango wa Maendeleo ya Sekta ya Elimu.


Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WASIMAMIZI WA VITUO, WASIMAMIZI WASAIDIZI NA MAKARANI WALIOCHAGULIWA KUSHIRIKI UCHAGUZI MKUU 2025 October 21, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO YA 10% October 07, 2024
  • TANGAZO LA MAJINA NA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 16, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • WALIMU WA MICHEZO FUATENI RATIBA ZA MICHEZO MASHULENI- DED MFIKWA.

    October 10, 2025
  • KITUO CHA AFYA NAMONGE CHA KABIDHIWA GARI LA WAGONJWA

    October 08, 2025
  • DED MFIKWA AFANYA KIKAO NA WATUMISHI,AWASISITIZA KUTEKELEZA MAJUKUMU YAO IPASAVYO

    October 06, 2025
  • BUKOMBE YAPOKEA DOZI 250,000 ZA UGONJWA WA HOMA YA MAPAFU KWA NG'OMBE.

    September 30, 2025
  • Tazama zote

Video

UMISSETA BUKOMBE WAAHIDI KURUDI NA USHINDI
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mfumo wa Bajeti(Planrep)
  • Mfumo wa Fedha Vituo vya kutoa huduma(FFARS)
  • MTUHA
  • Maktaba ya Picha
  • Ramani ya Bukombe
  • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Ushirombo

    Sanduku la Posta: S.L.P 02

    Simu ya Mezani: 028 2520704

    Simu ya mkononi: +255 (0) 622 295619

    Barua Pepe: ded@bukombedc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • M.M.M
    • Mpangilo wa Tovuti
    • Service

Hatimiliki(c) 2017 Halmashauri ya Bukombe. Haki zote zimehifadhiwa

  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Toto Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Toto Togel
  • Situs Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • KOI200
  • Slot Gacor
  • DORA77
  • Toto Slot
  • DORA77
  • Toto
  • DORA77
  • DORA77
  • AXL777
  • AXL777
  • KOI200
  • KOI200
  • NABITOTO
  • NABITOTO
  • NABITOTO
  • NABITOTO
  • AERO88
  • AXL777
  • AXL777
  • DORA77
  • DORA77
  • AXL777
  • AXL777
  • situs toto
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • toto slot
  • koi200
  • ufabet
  • ufabet
  • ufabet
  • ufabet
  • ufabet
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Situs Toto
  • KOI200
  • Toto Slot Gacor
  • AERO88 Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • AERO88
  • Situs Toto
  • situs toto
  • slot gacor
  • situs toto
  • yamitoto
  • kudetabet98
  • kudetabet98
  • yamitoto
  • dora77
  • koi200
  • aero88
  • yamitoto
  • axl777
  • dora77
  • dora77
  • aero88
  • aero88
  • dora77
  • dora77
  • slot gacor
  • axl777
  • axl777
  • yamitoto
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • yamitoto
  • axl777
  • aero88
  • dora77