• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • M.M.M |
    • Barua pepe |
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Utumishi
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Kilimo na Umwagiliaji
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Idara ya Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Mifugo na Uvuvi
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu,Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba
      • Ratiba ya Kuonana na Mhe. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Mpeleke binti yako wa Miaka 14 apate chanjo

Imewekwa: April 26th, 2018

Mkuu wa Wilaya ya Bukombe Mhe.Josephat Maganga amezindua rasmi chanjo ya Saratani ya Mango wa kizazi kwa wasichana wenye umri wa Miaka 14,uzinduzi huo umefanyika katika kituo cha afya Ushirombo leo tarehe 26, mwezi wa nne, 2018

Mhe.Josephat amewaeleza wananchi kuwa chanjo ya kinga ya Saratani ya Mlango wa kizazi Ina kinga maambukizi ya virusi vya HPV vinavyosababisha Saratani  ya Mlango wa kizazi, na inatolewa mara mbili ili kupata kinga kamili, Pia amesisitiza kuwa chanjo hii ni salama na bure kabisa kwani imethibitishwa na kutolewa na Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia na watoto pamoja na shirika la Afya Duniani.

Mkuu wa Wilaya ametoa wito kwa wazazi na walezi kuhakikisha wasichana waliofikisha umri wa miaka 14 wanapatiwa chanjo ya dozi 2 ambapo dozi ya 2 itatolewa baada ya Miezi 6 ili kupata kinga kamili.

Saratani ya mlango wa kizazi ni ugonjwa hatari na unaua wanawake wengi kwa nchi zinazoendelea, ugonjwa huu una sababishwa na virusi vijulikanavyo kitaalamu kama Human Papilloma virus(HPV), ni ugonjwa ambao uambukizwa kwa njia ya ngono toka kwa mtu wenye virusi hivyo,virusi hivi pia huambukiza koo au sehemu ya haja kubwa kwa jamii zinazofanya ngono kwa kinyume na maumbile na wasichana wenye umri mdogo wanao uwezekano mkubwa wa kupata maambukizi ya HPV.

Katika Uzinduzi huu Mganga Mkuu wa Wilaya Dr.Irene Mukerebe amesema dalili ya maambukizi ya HPV ni uvimbe kwenye Sehemu za Uke au Uume au koo au Sehemu ya Haja Kubwa vinavyojulikana kama viotea, Pia mabadiliko katika deli za Mlango wa kizazi ambazo ni dalili za awali za Saratani ya Mlango wa kizazi mabadiliko hayo yasipodhibitiwa mapema hugeuka kuwa Saratani ya Mlango wa kizazi.

Dk.Irene ameongeza Pia dalili za Saratani ya Mlango wa kizazi ni kutokwa na uchafu au damu Kwenye uke, kupata hedhi bila mpangilio maalumu na kutokwa na damu ukeni baada ya tendo la Ndoa,“Saratani ya Mlango wa Kizazi inazuilika,mpeleke binti yako akapate Chanjo dhidi ya Saratani ya Mlango wa kizazi” alisisitiza Dk.Irene

Bukombe takribani wasichana zaikai ya 2000 ambao wanatarajiwa kupatiwa chanjo ya Saratani ya Mlango wa kizazi.

Mkuu wa Wilaya ya Bukombe Mhe. Josephat Maganga akihutubia katika Siku ya Uzinduzi wa Chanjo ya kujikinga na Saratani ya Mlango wa kizazi.

Mkuu wa Wilaya ya Bukombe akitoa chanjo ya matone kwa Mtoto Mwenye Miezi 2 ili kujikinga na Surua.

Mkuu wa Wilaya ya Bukombe Mhe.Josephat Maganga akitoa chandarua kwa Mama wenye Mtoto Chini ya Mwaka Mmoja.

Muuguzi Mwengele akitoa chanjo ya Saratani ya Mlango wa kizazi kwa Mwanafunzi wenye umri wa Miaka 14.

Mganga Mkuu wa Wilaya ya Bukombe Dr.Irene Mukerebe  akitoa Taarifa ya Shughuli za Kutoa chanjo katika Wilaya ya Bukombe.

Wanafunzi wasichana wenye umri wa Miaka 14 waliofika kituo cha Afya Kupata Chanjo.

Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 February 10, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO YA 10% October 07, 2024
  • TANGAZO LA MAJINA NA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 16, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • DC MURAGILI AONGOZA KIKAO CHA TATHMINI YA UTEKELEZAJI WA MKATABA WA LISHE ROBO YA TATU (Januari-Machi 2024/2025)

    May 08, 2025
  • WANANCHI WAJITOKEZA KUBORESHA TAARIFA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • DC MURAGILI AHAKIKI TAARIFA ZAKE KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • MAADHIMISHO YA MEI MOSI MKOA WA GEITA.

    May 02, 2025
  • Tazama zote

Video

UMISSETA BUKOMBE WAAHIDI KURUDI NA USHINDI
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mfumo wa Bajeti(Planrep)
  • Mfumo wa Fedha Vituo vya kutoa huduma(FFARS)
  • MTUHA
  • Maktaba ya Picha
  • Ramani ya Bukombe
  • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Ushirombo

    Sanduku la Posta: S.L.P 02

    Simu ya Mezani: 028 2520704

    Simu ya mkononi: +255 (0) 622 295619

    Barua Pepe: ded@bukombedc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • M.M.M
    • Mpangilo wa Tovuti
    • Service

Hatimiliki(c) 2017 Halmashauri ya Bukombe. Haki zote zimehifadhiwa