• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • M.M.M |
    • Barua pepe |
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Utumishi
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Kilimo na Umwagiliaji
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Idara ya Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Mifugo na Uvuvi
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu,Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba
      • Ratiba ya Kuonana na Mhe. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

MKUTANO WA BARAZA LA MADIWANI KUJADILI HOJA ZA MDHIBITI NA MKAGUZI WA HESABU ZA SERIKALI

Imewekwa: June 16th, 2025

Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe imepongezwa kwa kupata Hati Safi katika Ukaguzi wa fedha wa mwaka 2023/2024 na kupelekea kupata hati safi kwa miaka mitatu mfululizo kuanzia mwaka 2021/2022 hadi 2023/2024.

Pongezi hizo zimetolewa leo tarehe 16 Juni, 2025 na Mhe. Sakina Mohamed ambaye ni Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Geita katika Mkutano maalum wa Baraza la kupokea na kujadili hoja za Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG) uliofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Halmashauri.

“Twendeni tukasimamie vizuri fedha za Miradi ya Maendeleo na tuhakikishe tunakabidhi nyaraka zote muhimu kwa mkaguzi wa ndani ili tuweze kufunga hoja zilizobaki na tuepuke kuongeza hoja nyingine “ amesisitiza Sakina.

Kwa upande wake Mkaguzi Mkuu  wa Mkoa wa Geita (Chief External Auditor) Bw. Waziri Shabani wakati akiwasilisha ripoti ya mwaka wa fedha 2023/2024 amesema kuwa jumla ya hoja 14 sawa 49% bado hazijatekelezwa na hoja 18 sawa na 56% zimetekelezwa kikamilifu .

Aidha amesema kuwa kulikuwa maagizo 10 kutoka Kamati ya Kudumu ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) ambapo maagizo 4 yametekelezwa kikamilifu, agizo 1 halijaanza kutekelezwa na maagizo 5 yapo katika hatua mbalimbali za utekelezaji.

 

Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 February 10, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO YA 10% October 07, 2024
  • TANGAZO LA MAJINA NA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 16, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • CHANJO NA UTAMBUZI WA MIFUGO KUWANUFAISHA WAFUGAJI- DKT. KIJAJI.

    July 07, 2025
  • BUKOMBE DC YAZINDUA CHANJO YA KUKU (TATU MOJA).

    July 03, 2025
  • NENDENI MKAFANYE MAGEUZI MAKUBWA KWENYE SEKTA YA MIFUGO-DC MURAGILI.

    June 24, 2025
  • MKUTANO WA BARAZA LA MADIWANI KUJADILI HOJA ZA MDHIBITI NA MKAGUZI WA HESABU ZA SERIKALI

    June 16, 2025
  • Tazama zote

Video

UMISSETA BUKOMBE WAAHIDI KURUDI NA USHINDI
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mfumo wa Bajeti(Planrep)
  • Mfumo wa Fedha Vituo vya kutoa huduma(FFARS)
  • MTUHA
  • Maktaba ya Picha
  • Ramani ya Bukombe
  • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Ushirombo

    Sanduku la Posta: S.L.P 02

    Simu ya Mezani: 028 2520704

    Simu ya mkononi: +255 (0) 622 295619

    Barua Pepe: ded@bukombedc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • M.M.M
    • Mpangilo wa Tovuti
    • Service

Hatimiliki(c) 2017 Halmashauri ya Bukombe. Haki zote zimehifadhiwa