• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • M.M.M |
    • Barua pepe |
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Utumishi
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Kilimo na Umwagiliaji
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Idara ya Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Mifugo na Uvuvi
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu,Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba
      • Ratiba ya Kuonana na Mhe. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

MAJENGO YA KUTOLEA HUDUMA KWA WANYAMA YAZINDULIWA BUKOMBE.

Imewekwa: March 8th, 2024

Waziri wa Kilimo Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar amezindua mradi wa majengo ya kutolea huduma za maabara, chanjo na upasuaji kwa wanyama yanayojengwa na  shirika lisilo la kiserikali la Tanzania Humane Charity (TAHUCHA) tarehe 7 March, 2024 Wilayani Bukombe huku akiwapongeza kwa kuanzisha huduma hiyo muhimu kwa ajili ya ustawi wa wanyama.

"Hongereni sana TAHUCHA kwa kuanzinzisha mradi huu ambao utatoa tiba za kibingwa kwa wanyama na kuinua kipato kwa wafugaji pamoja na kuongeza uzalishaji maradufu."

Aidha aliendelea kusema kuwa uanzishwaji wa mradi huu Wilayani Bukombe ni utekelezaji wa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi.

Kwa upande wake Mkuu wa Mkoa wa Geita Martine Shigella alisema uanzishwaji wa kituo hiki ni mapinduzi makubwa sana katika sekta ya mifugo na ameahidi kuwapa ushirikiano kwa kuhakikisha mradi unaendelea.

"Sisi kama Mkoa tupo tayari kutoa ushirikiano kwa kuhakikisha TAHUCHA inaendelea kutoa huduma za  kibingwa za kitabibu katika mkoa wetu."

Vilevile amewataka wananchi kukitumia kituo cha TAHUCHA kwa ajili ya ustawi wa afya za wanyama na binadamu.

Akiwasilisha taarifa ya mradi Mratibu wa Mradi Richard Patrick Itaba amesema Wilaya ya Bukombe ina idadi kubwa ya mifugo na uhitaji wa huduma za ugani zimepanuka na hivyo vinahitajika vituo vingi kama hiki.

Itaga ameiomba Serikali kuisaidia TAHUCHA vifaa tiba,majengo ya Madaktari wa kujitolea na wale wa Mafunzo kwa vitendo. 

Mradi wa utoaji huduma za afya na ustawi wa wanyama ulianza mwaka 2021kwa awamu ya kwanza kwa kununua eneo lenye ukubwa wa ekari tatu na kujenga miundombinu ya awali na kuanza kutoa huduma za ugani.

Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 February 10, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO YA 10% October 07, 2024
  • TANGAZO LA MAJINA NA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 16, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • DC MURAGILI AONGOZA KIKAO CHA TATHMINI YA UTEKELEZAJI WA MKATABA WA LISHE ROBO YA TATU (Januari-Machi 2024/2025)

    May 08, 2025
  • WANANCHI WAJITOKEZA KUBORESHA TAARIFA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • DC MURAGILI AHAKIKI TAARIFA ZAKE KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • MAADHIMISHO YA MEI MOSI MKOA WA GEITA.

    May 02, 2025
  • Tazama zote

Video

UMISSETA BUKOMBE WAAHIDI KURUDI NA USHINDI
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mfumo wa Bajeti(Planrep)
  • Mfumo wa Fedha Vituo vya kutoa huduma(FFARS)
  • MTUHA
  • Maktaba ya Picha
  • Ramani ya Bukombe
  • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Ushirombo

    Sanduku la Posta: S.L.P 02

    Simu ya Mezani: 028 2520704

    Simu ya mkononi: +255 (0) 622 295619

    Barua Pepe: ded@bukombedc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • M.M.M
    • Mpangilo wa Tovuti
    • Service

Hatimiliki(c) 2017 Halmashauri ya Bukombe. Haki zote zimehifadhiwa