• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • M.M.M |
    • Barua pepe |
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Utumishi
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Kilimo na Umwagiliaji
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Idara ya Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Mifugo na Uvuvi
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu,Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba
      • Ratiba ya Kuonana na Mhe. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

DC Bukombe amewapongeza Wananchi wa Kijiji cha Bwenda kwa Ujenzi wa Zahanati

Imewekwa: April 21st, 2018

Mkuu wa Wilaya ya Bukombe Mhe.Josephat Maganga, amezindua Ujenzi wa Msingi wa Zahanati katika kijiji cha Bwenda Kata ya Katente, ikiwa ni muendelezo wa uhamasishaji wa ujenzi wa Miundombinu ya Afya na Elimu iliyozinduliwa rasmi na Mkuu wa Mkoa wa Geita Mhe.Robert Gabriel mapema mwaka huu.

Katika uzinduzi huo Mkuu wa wilaya amesema kutokana na kutokuwepo kwa miundombinu ya Afya ya kutosha kwa kila kijiji, ujenzi huu wa Zahanati katika kijiji hiki cha Bwenda, hii inaonyesha kuwa wananchi wameamka, wanaunga mkono jitihada za Mhe.Rais Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika kuhakikisha Wananchi wanapata huduma karibu na kwa uhakika zaidi.

Aidha Mhe.Maganga amesema ataendelea kuwaunga mkono wananchi wa wilaya ya Bukombe wenye kuonyesha jitihada za makusudi kabisa za kuleta maendeleo katika wilaya hii,” naamini katika kujiletea Maendeleo,na tukianza sisi basi na wengine watatuunga mkono,nitaendelea kuwaunga mkono wananchi wangu wa Bukombe” alisema Mkuu wa wilaya

Wananchi wa Kijiji cha Bwenda wamehamasika kujenga Zahanati katika kijiji hicho wakiongozwa na Diwani wa Kata ya Katente Mhe. Bahati Kayangila lengo ni kuhakikisha huduma za Afya zinakuwa karibu na kwa Uhakika, “afya ni zetu uhamasishaji wa Zahanati hii umeletwa na chachu tuliyonayo wana Bwenda ya kuwa na Zahanati yetu katika kijiji chetu, tunaomba Sasa Serikali ituunge mkono kwa juhudi tulizozionyesha za kuwa na Zahanati yenye Lengo ya kuleta huduma karibu kwa uhakika” alisema mhe. Bahati

Baadhi ya wananchi Samweli Masunga na Rosemary Vincent wamesema Zahanati hii itaokoa maisha ya wakina mama wajawazito hasa nyakati za usiku wanapopata uchungu wa kujifungua lakini hospital ya wilaya ipo mbali hivyo kulazimika kujifungulia njiani.

Bukombe ina jumla ya zahanati 6,Vituo vya afya 3 na hospital ya wilaya 1, idadi ya miundombinu hii haiendani na idadi ya wakazi wote waliopo wilayani hapa ambao ni takribani laki 258,405 kwa maoteo ya sensa ya mwaka 2012.

Wananchi wa kijiji cha Bwenda wakiwa katika mkutano baada ya kumaliza kuchimba msingi wa ujenzi wa Zahanati hiyo.

Msingi wa Zahanati ya Bwenda ambao umezinduliwa na Mkuu wa Wilaya ya Bukombe.

Diwani wa Kata ya Katente mhe. Bahati Kayangila ako toa Shukrani na wapongeza Wananchi kwa kujitokeza katika kujenga msingi wa Zahanati.

Mkuu wa Wilaya ya Bukombe mhe.Josephat Maganga  akiongea na wananchi wa kijiji cha Bwenda katika Uzinduzi wa Zahanati

Mkuu wa Wilaya ya Bukombe Mhe.Josephat Maganga, amezindua Ujenzi wa Msingi wa Zahanati katika kijiji cha Bwenda Kata ya Katente.

Ikiwa ni muendelezo wa uhamasishaji wa Ujenzi wa Miundombinu ya Afya na Elimu iliyozinduliwa rasmi na Mkuu wa Mkoa wa Geita Mhe.Robert Gabriel mapema mwaka huu.

Katika uzinduzi huo Mkuu wa wilaya amesema kutokana na kutokuwepo kwa miundombinu ya Afya ya kutosha kwa kila kijiji, ujenzi huu wa Zahanati katika kijiji hiki cha Bwenda, hii inaonyesha kuwa wananchi wameamka, wanaunga mkono jitihada za Mhe.Rais Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika kuhakikisha Wananchi wanapata huduma karibu na kwa uhakika zaidi.

Aidha Mhe.Maganga amesema ataendelea kuwaunga mkono wananchi wa wilaya ya Bukombe wenye kuonyesha jitihada za makusudi kabisa za kuleta maendeleo katika wilaya hii,” naamini katika kujiletea Maendeleo,na tukianza sisi basi na wengine watatuunga mkono,nitaendelea kuwaunga mkono wananchi wangu wa Bukombe” alisema Mkuu wa wilaya

Wananchi wa Kijiji cha Bwenda wamehamasika kujenga Zahanati katika kijiji hicho wakiongozwa na Diwani wa Kata ya Katente Mhe. Bahati Kayangila lengo ni kuhakikisha huduma za Afya zinakuwa karibu na kwa Uhakika.

Bukombe ina jumla ya zahanati 6,Vituo vya afya 3 na hospital ya wilaya 1, idadi ya miundombinu hii haiendani na idadi ya wakazi wote waliopo wilayani hapa ambao ni takribani laki 258,405 kwa maoteo ya sensa ya mwaka 2012.

Wananchi wa kijiji cha Bwenda wakiwa katika mkutano baada ya kumaliza kuchimba msingi wa ujenzi wa Zahanati hiyo.

Msingi wa Zahanati ya Bwenda ambao umezinduliwa na Mkuu wa Wilaya ya Bukombe.

Diwani wa Kata ya Katente mhe. Bahati Kayangila ako toa Shukrani na wapongeza Wananchi kwa kujitokeza katika kujenga msingi wa Zahanati.

Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 February 10, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO YA 10% October 07, 2024
  • TANGAZO LA MAJINA NA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 16, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • WANANCHI WAJITOKEZA KUBORESHA TAARIFA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • DC MURAGILI AHAKIKI TAARIFA ZAKE KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • MAADHIMISHO YA MEI MOSI MKOA WA GEITA.

    May 02, 2025
  • MAAFISA WAANDIKISHAJI WASAIDIZI WAPATIWA MAFUNZO

    April 29, 2025
  • Tazama zote

Video

WANAWAKE BUKOMBE WASHIRIKI UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI YA AMALI DOTO BITEKO.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mfumo wa Bajeti(Planrep)
  • Mfumo wa Fedha Vituo vya kutoa huduma(FFARS)
  • MTUHA
  • Maktaba ya Picha
  • Ramani ya Bukombe
  • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Ushirombo

    Sanduku la Posta: S.L.P 02

    Simu ya Mezani: 028 2520704

    Simu ya mkononi: +255 (0) 622 295619

    Barua Pepe: ded@bukombedc.go.tz

Other Contacts

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • M.M.M
    • Mpangilo wa Tovuti
    • Service

Hatimiliki(c) 2017 Halmashauri ya Bukombe. Haki zote zimehifadhiwa