• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • M.M.M |
    • Barua pepe |
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Utumishi
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Kilimo na Umwagiliaji
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Idara ya Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Mifugo na Uvuvi
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu,Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba
      • Ratiba ya Kuonana na Mhe. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

“Wekeni mipango kabambe ya ulinzi wa hifadhi ya misitu katika vijiji na kata zetu”

Imewekwa: April 20th, 2018

Mkuu wa Wilaya ya Bukombe Mhe.Josephat Maganga   amewasihi wananchi wote kuzingatia na kuheshimu sheria zinazosimamia na kulinda misitu kwa manufaa ya wananchi katika Maadhimisho ya siku ya upandaji miti yaliyoadhimishwa leo Kata ya Uyovu kijiji cha Uyovu.

Katika maadhimisho hayo Mkuu wa wilaya amewakumbusha wananchi kuwa misitu ni uhai, mahitaji mengi muhimu katika maisha ya kila siku yanategemea misitu kwa njia moja au nyingine.

“Sisi sote tunahitaji mkaa  na kuni maji kwa ajili ya matumizi ya nyumbani , tunahitaji pia miti ili kupata mbao za biashara, nguzo za umeme, dawa za mitishamba, ufugaji nyuki wenye kuleta zao la asali udongo wenye rutuba na hali ya hewa nzuri” alisema Maganga

Mhe Maganga ametoa wito kwa kila familia kuanzisha Bustani ndogo ndogo za miche ya miti ili kupanda mashambani, na kamati ya Ulinzi na Usalama katika ngazi zote zifanye Suala la Ulinzi wa misitu ya hifadhi kuwa agenda ya kudumu na kuainisha majukumu katika ngazi mbalimbali kwenye kulinda na kuondoa wavamizi wa misitu.

Wilaya ya Bukombe imezungukwa na misitu kwa asilimia 60 huku makazi ya wananchi yakiwa asilimia 40 tu, jambo ambalo linaleta matumaini ya kuwa Tanzania ya kijani inawezekana.

Mkuu wa Wilaya ya Bukombe Mhe.Josephat Maganga akiongea Na Wananchi baada ya kumaliza kupanda mti.

Afisa Kilimo na Umwangiliaji wa Wilaya akimwangilia Mti Baada ya kupanda katika Maadhimisho ya upandaji miti.

Afisa Tarafa wa Siloka John Tumbo akinawa mikono katika Mti aliopanda katika maadhimisho.

Afisa Mazingira akipanda mti siku ya Maadhimisho yeye kama msimamizi wa Mazingira ikiwemo miti.

Mwananchi wa kata ya Uyovu nae akipanda mti  kuashiria Tanzania ya kijani inawezekana.

Mkuu wa Wilaya ya Bukombe Mhe.Josephat Maganga akigawa mashina ya miti kwa Wananchi wa Kata ya Uyovu kama mbegu ya kutengeneza Tanzania ya Viwanda.

Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 February 10, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO YA 10% October 07, 2024
  • TANGAZO LA MAJINA NA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 16, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • WANANCHI WAJITOKEZA KUBORESHA TAARIFA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • DC MURAGILI AHAKIKI TAARIFA ZAKE KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • MAADHIMISHO YA MEI MOSI MKOA WA GEITA.

    May 02, 2025
  • MAAFISA WAANDIKISHAJI WASAIDIZI WAPATIWA MAFUNZO

    April 29, 2025
  • Tazama zote

Video

WANAWAKE BUKOMBE WASHIRIKI UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI YA AMALI DOTO BITEKO.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mfumo wa Bajeti(Planrep)
  • Mfumo wa Fedha Vituo vya kutoa huduma(FFARS)
  • MTUHA
  • Maktaba ya Picha
  • Ramani ya Bukombe
  • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Ushirombo

    Sanduku la Posta: S.L.P 02

    Simu ya Mezani: 028 2520704

    Simu ya mkononi: +255 (0) 622 295619

    Barua Pepe: ded@bukombedc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • M.M.M
    • Mpangilo wa Tovuti
    • Service

Hatimiliki(c) 2017 Halmashauri ya Bukombe. Haki zote zimehifadhiwa