- Mwanzo
- Kuhusu Sisi
-
Utawala
- Muundo wa Taasisi
-
Idara
- Idara ya Utawala na Utumishi
- Idara ya Fedha na Biashara
- Idara ya Afya
- Idara ya Elimu Sekondari
- Idara ya Elimu Msingi
- Idara ya Maji
- Idara ya Kilimo na Umwagiliaji
- Idara ya Mifugo na Uvuvi
- Idara ya Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
- Idara ya Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
- Idara ya Ardhi na Maliasili
- Idara ya Maendeleo ya Jamii
- Idara ya Ujenzi na Zimamoto
- Vitengo
- Fursa za Uwekezaji
- Huduma Zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
Siku ya mtoto wa afrika huadhimishwa duniani kote kwa lengo la kukumbuka ya mauji ya kikatili ya watoto zaidi ya 700 yaliyofanyika nchini afrika kusini katika kitongoji cha Soweto tarehe 16 juni 1976. Maadhimisho haya hufanywa kila ifikapo tarehe 16 juni ili kutambua thamani, haki,utu,upendo na umuhimu wa mtoto duniani tangu ilipotangazwa kuwa siku rasmi mwaka 1991 na jumuiya ya umoja wa afrika.Mwaka huu wilaya ya Bukombe imeadhimisha katika kata ya Katente kijiji cha namba moja siku hi ikiwa muhimu Afrika na Tanzania kwa ujumla,huku elimu na afya vikiwa ndiyo vipaumbele katika maadhimisho haya.









