• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • M.M.M |
    • Barua pepe |
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Utumishi
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Kilimo na Umwagiliaji
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Idara ya Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Mifugo na Uvuvi
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu,Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba
      • Ratiba ya Kuonana na Mhe. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Siloka Walimu FC watwaa Ubingwa Mwalimu Doto CUP 2019

Imewekwa: November 2nd, 2019

Timu ya Walimu wa Tarafa ya Siloka Wilaya ya Bukombe Mkoani Geita, wameibuka kidedea na kutwaa ubingwa wa kombe la Mwalimu Doto Cup 2019 katika mchezo wa fainali uliofanyika uwanja wa Ushirombo sekondari kwa kutoa kichapo cha bao 2-1 dhidi ya timu ya Bukombe Walimu fc.

Wafugaji wa timu ya Siloka Walimu fc Mwalimu Bazili Danifod dakika ya 57 goli la pili lilipachikwa na Mwalimu Gerevas Njantu dakika ya 78.Huku Mwalimu Jeremia Chacha wa timu ya Bukombe Walimu Fc akifuga goli kwa mkwaju wa penaliti na kupata goli la kufutia machozi dakika ya 89 lililo dumu hadi kipena cha mwisho kinapulizwa.

Mratibu wa Ligi ya Mwalimu Doto Cup 2019 Domisian Kabalega alisema mashindano hayo yaliaza Septemba 25 mwaka huu kwa kushirikisha timu 17 ambazo ziliundwa kupitia walimu kila shule wenye vipaji na kucheza ngazi ya Kata hadi Tarafa.


Kabalega alisema  Mshindi wa tatu ni timu ya Butinzya Walimu fc ambayo ilipokea sh 100,000 jezi seti moja na mpira,mshindi wa pili ni timu ya Bukombe Walimu fc ambao walitwaa Tsh 200,000 na jezi seti moja mpira mmoja huku mabingwa wa mashindano hayo walijinyakulia kitita cha Tsh 300,000 na jezi seti moja mipira miwili.



Nae Mdhamini wa mashidano hayo Mbunge wa Jimbo la Bukombe Doto Biteko wakati akimkaribisha mgeni rasmi  kukabidhi zawadi kwa mabingwa wama mashindano hayo.

Biteko alisema lengo la mashindano hayo ni kuwaunganisha walimu, kuinua vipaji vyao, kujenga afya zao na kuendeleza  vipaji. Pia  aliwaomba walimu na kuwasihi wakahakikishe wanaongeza kasi ya kuibua vjipaji kwa wanafunzi mashuleni.


Kwa upande wake Waziri wa Elimu Sayasi na teknolojia Prof. Joyce Ndalichako alimpongeza Mwalimu Doto Biteko ambae pia ni Mbunge wa Jimbo la Bukombe na Waziri wa Madini kwa kitendo cha kuendelea kuwakumbuka Walimu wezake kwa kuwaunganisha ikiwa ni pamoja na kudhamini mashindano ya Mwalimu Doto Cup 2019.



Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 February 10, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO YA 10% October 07, 2024
  • TANGAZO LA MAJINA NA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 16, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • DC MURAGILI AONGOZA KIKAO CHA TATHMINI YA UTEKELEZAJI WA MKATABA WA LISHE ROBO YA TATU (Januari-Machi 2024/2025)

    May 08, 2025
  • WANANCHI WAJITOKEZA KUBORESHA TAARIFA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • DC MURAGILI AHAKIKI TAARIFA ZAKE KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • MAADHIMISHO YA MEI MOSI MKOA WA GEITA.

    May 02, 2025
  • Tazama zote

Video

UMISSETA BUKOMBE WAAHIDI KURUDI NA USHINDI
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mfumo wa Bajeti(Planrep)
  • Mfumo wa Fedha Vituo vya kutoa huduma(FFARS)
  • MTUHA
  • Maktaba ya Picha
  • Ramani ya Bukombe
  • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Ushirombo

    Sanduku la Posta: S.L.P 02

    Simu ya Mezani: 028 2520704

    Simu ya mkononi: +255 (0) 622 295619

    Barua Pepe: ded@bukombedc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • M.M.M
    • Mpangilo wa Tovuti
    • Service

Hatimiliki(c) 2017 Halmashauri ya Bukombe. Haki zote zimehifadhiwa