• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • M.M.M |
    • Barua pepe |
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Utumishi
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Kilimo na Umwagiliaji
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Idara ya Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Mifugo na Uvuvi
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu,Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba
      • Ratiba ya Kuonana na Mhe. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

KITUO CHA AFYA NAMONGE CHA KABIDHIWA GARI LA WAGONJWA

Imewekwa: October 8th, 2025

Kituo cha Afya Namonge kimekabidhiwa gari jipya la wagonjwa (Ambulance) lenye namba za usajili STM 7766 ambalo litasaidia kutoa huduma za afya kwa wananchi pamoja na kuokoa maisha ya wananchi wa Kata ya Namonge.

Akiongea katika hafla ya kukabidhi gari la wagonjwa leo tarehe 8October, 2025 Mhe. Mhandisi Paskasi Muragili amesema kuwa kutolewa kwa gari hili kutasaidia kuondoa kero kwa wananchi wa kata ya Namonge na Kata za jirani wanaopata changamoto ya usafiri pindi wagonjwa wanapopewa rufaa kwenda hospital ya Wilaya.

Aidha Mhe.Muragili amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa mchango wake mkubwa wa kuwaletea  wananchi maendeleo.

"Kwa mwaka wa fedha 2025/2026 tumekwishapokea kiasi cha shilingi  Bilioni 1.2 kwa ajili ya ukamilishaji, ujenzi na upanuzi wa miundombinu ya sekta ya Afya katika halmashauri ya Wilaya ya Bukombe. Ambapo kiasi cha shilingi Milioni 60 ni kwa ajili ya ukamilishaji wa Zahanati ya Busonzo, Milioni 60 ukamilishaji wa Zahanati ya Ilyamchele, Milioni 60  ukamilishaji wa Zahanati ya Nasihukulu, Milioni 60 ukamilishaji wa  Zahanati ya Imalanguzu, Milioni 689.9 ujenzi wa kituo cha Afya  Msangira, Milioni 250 upanuzi wa Zahanati ya Nampalahala kuwa kituo cha Afya na Milioni 23.8 upanuzi wa jengo la kujifungulia kituo cha Afya Bulega."

Naye Mganga Mfawidhi wa kituo cha Afya Namonge Dr. Ezekiel Mollel  amesema kuwa kuletewa gari jipya la wagonjwa kutasaidia kupeleka huduma karibu na wananchi pamoja na kuokoa maisha ya Wananamonge.

Kwa upande wake Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe Bi. Adelina Mfikwa amewapongeza watumishi wa Divisheni ya afya kwa kazi kubwa wanayoifanya ya kutoa huduma bora kwa wananchi na amewataka kuhakikisha wanalitunza gari hilo ili liweze kudumu kwa muda mrefu.

Kituo cha Afya Namonge kilianza kutoa huduma mnamo mwaka 2021 na kinahudumia jumla ya vijiji 8 vya kata ya Namonge.



Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WASIMAMIZI WA VITUO, WASIMAMIZI WASAIDIZI NA MAKARANI WALIOCHAGULIWA KUSHIRIKI UCHAGUZI MKUU 2025 October 21, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO YA 10% October 07, 2024
  • TANGAZO LA MAJINA NA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 16, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • WALIMU WA MICHEZO FUATENI RATIBA ZA MICHEZO MASHULENI- DED MFIKWA.

    October 10, 2025
  • KITUO CHA AFYA NAMONGE CHA KABIDHIWA GARI LA WAGONJWA

    October 08, 2025
  • DED MFIKWA AFANYA KIKAO NA WATUMISHI,AWASISITIZA KUTEKELEZA MAJUKUMU YAO IPASAVYO

    October 06, 2025
  • BUKOMBE YAPOKEA DOZI 250,000 ZA UGONJWA WA HOMA YA MAPAFU KWA NG'OMBE.

    September 30, 2025
  • Tazama zote

Video

UMISSETA BUKOMBE WAAHIDI KURUDI NA USHINDI
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mfumo wa Bajeti(Planrep)
  • Mfumo wa Fedha Vituo vya kutoa huduma(FFARS)
  • MTUHA
  • Maktaba ya Picha
  • Ramani ya Bukombe
  • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Ushirombo

    Sanduku la Posta: S.L.P 02

    Simu ya Mezani: 028 2520704

    Simu ya mkononi: +255 (0) 622 295619

    Barua Pepe: ded@bukombedc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • M.M.M
    • Mpangilo wa Tovuti
    • Service

Hatimiliki(c) 2017 Halmashauri ya Bukombe. Haki zote zimehifadhiwa

  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Toto Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Toto Togel
  • Situs Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • KOI200
  • Slot Gacor
  • DORA77
  • Toto Slot
  • DORA77
  • Toto
  • DORA77
  • DORA77
  • AXL777
  • AXL777
  • KOI200
  • KOI200
  • NABITOTO
  • NABITOTO
  • NABITOTO
  • NABITOTO
  • AERO88
  • AXL777
  • AXL777
  • DORA77
  • DORA77
  • AXL777
  • AXL777
  • situs toto
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Situs Toto
  • KOI200
  • Toto Slot Gacor
  • AERO88 Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • AERO88
  • Situs Toto
  • situs toto
  • slot gacor
  • situs toto
  • yamitoto
  • kudetabet98
  • kudetabet98