• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • M.M.M |
    • Barua pepe |
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Utumishi
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Kilimo na Umwagiliaji
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Idara ya Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Mifugo na Uvuvi
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu,Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba
      • Ratiba ya Kuonana na Mhe. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Diwani awaomba Wananchi Kushiriki kwenye Mradi wa Zahanati

Imewekwa: July 10th, 2019

Diwani wa Kata ya Bulangwa Wilaya ya Bukombe Mkoa wa Geita, Yusuph Mohamed amewaomba Wananchi wa Kata hiyo kushiriki kwenye miradi ya maendeleo kwa kujitolea kuchimba msingi na kusongeza mawe, mchanga, na kusomba maji ya kujengea.Mohamed alitowa wito huo wakati akiwashukru wananchi kuja kujitolea kuchimba msingi wa mradi wa ujenzi wa Zahanati katika kijiji cha Bulangwa


Alisema katika nguvu za wananchi Mbunge wa Jimbo la Bukombe Mhe. Doto Mashaka Biteko amechagia sh milioni 6  kwa ajili ya kununua mifuko  250 ya simenti na kusomba mchanga na mawe.


Kwa upande wake Mwenyekiti wa Kijiji cha Bulangwa Amos Manumbu amesema mwaka 1999 Kijiji kiliazishwa wananchi na tangu kipindi hicho wamekuwa wakifuata huduma za Afya katika Kituo cha Ushirombo. Manumbu alisema kutokuwa na Zahanati kijijini hapo ni changamoto kubwa kwa wananchi hasa wanawake wenye ujauzito hali ambayo inayowafanya wengine kutohuzuria kliniki ya mama baba na mtoto. Mkazi wa kijiji cha Bulangwa Bundala Migayo aliomba serikali iwaunge mkono wananchi ili waondokane na changamoto ya kutembea umbali mrefu kutafuta huduma ya Afya.
 Kaimu Mhandisi wa Ujenzi Wilaya ya Bukombe Dominico Shilingo  alisema ujenzi wa Zahanati ya Bulangwa itakamilika kwa mjibu wa mkataba siku 90 hadi kukamilika na itaghalimu Tsh milioni 68.


Matangazo

  • Orodha ya Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga Kidato cha Kwanza Mwaka 2021,Mkoa wa Geita. December 18, 2020
  • Tanzia July 02, 2020
  • Matokeo ya Kidato cha Sita 2020 August 21, 2020
  • Tangazo la Nafasi za Kazi za Muda September 22, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Taarifa ya utekelezaji wa mpango wa maendeleo wa Halmashauri ya Bukombe kwa mwaka 2020/2021

    November 10, 2020
  • DC Nkumba atoa pongezi kwa NHIF

    August 30, 2020
  • DC Nkumba aishukuru Benki ya NMB

    August 29, 2020
  • "Uchaguzi hausimamishi shughuli za Maendeleo" DC Nkumba

    August 21, 2020
  • Tazama zote

Video

Mweka Hazina na Wahasibu watakiwa kutimiza wajibu wao
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mfumo wa Bajeti(Planrep)
  • Mfumo wa Fedha Vituo vya kutoa huduma(FFARS)
  • MTUHA
  • Maktaba ya Picha
  • Ramani ya Bukombe
  • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Ushirombo

    Sanduku la Posta: S.L.P 02

    Simu ya Mezani: 028 2520704

    Simu ya mkononi: +255 (0) 622 295619

    Barua Pepe: ded@bukombedc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • M.M.M
    • Mpangilo wa Tovuti
    • Service

Hatimiliki(c) 2017 Halmashauri ya Bukombe. Haki zote zimehifadhiwa