• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • M.M.M |
    • Barua pepe |
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Utumishi
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Kilimo na Umwagiliaji
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Idara ya Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Mifugo na Uvuvi
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu,Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba
      • Ratiba ya Kuonana na Mhe. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Bukombe Inaendelea kutekeleza mipango mikakati ya Serikali ya awamu ya tano.

Imewekwa: August 20th, 2018

Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe imepokea kiasi cha Shilingi za Kitanzania 110,000,000/= kutoka Mamlaka ya Elimu Tanzania(Tanzania Education Authority) Mil.60 imelenga kujenga vyumba vitatu vya madarasa pamoja na semant zake, zikiwemo meza 120 na Viti 120 huku kwa Kila darasa kutakuwa na meza na vita 40 katika shule ya sekondari Businda, huku  Mil.50 iliyobaki imelenga kutekeleza ujenzi wa matundu 24 ya vyoo, ujenzi wa miundombinu hii ni maandalizi ya Kuandaa miundombinu ya kuanzisha Kidato cha Tano katika Shule  sekondari Businda  ifikapo julai 2019.

Aidha hatua mbalimbali za Ujenzi wa miundombinu hii imefikiwa ambapo jengo la vyumba Vitatu vya Madarasa vimefikia hatua ya Lenta, matundu 8 ya vyoo vya wavulana yamefikia hatua ya Lenta, matundu 8 ya vyoo vya wasichana (kutwa) yamefikia hatua ya kuweka kozi tano, na matundu mengine 8 ya vyoo vya wasichana (Bweni) vimefikia hatua ya Msingi.

Wilaya ya Bukombe Ina Shule Moja tu ya kidato cha Sita ambayo imekuwa minara katika ufaulishaji Kimkoa na kushika nafasi nzuri Kitaifa, shule ya sekondari Runzewe imefaulisha wanafunzi 137 ambas ndiyo idadi ya wanafunzi waliosajiliwa Kufanya mtihani wa kidato cha Sita 2018.

Watahiniwa 67 walipata drama la I, watahiniwa 58 draja la II, na watahiniwa 12 pekee ndiyo waliopata draja la III, huku kukiwa hakuna mtahiniwa yeyote aliyepata daraja la IV wala la mwisho hivyo kupelekea Shule hiyo kushika nafasi ya 2 Kati ya 10 Kimkoa na nafasi ya 22 Kati ya 543 Kitaifa,hivyo kuongezeka kwa shule nyingine ya kidato cha tano ni kuendelea kuhakikisha elimu Wilayani hapa inakua kwa kasi na kujaza maarifa ya kutosha kwa wanafunzi wa Bukombe.

                                                                                                       Vyumba vitatu vya Madarasa hatua ya lenta.

                                                                                                       Vyumba vitatu vya Madarasa hatua ya lenta.

                                                      Matundu 8 ya vyoo vya wasichana (kutwa) yamefikia hatua ya kuweka kozi tano.

                                                           Matundu mengine 8 ya vyoo vya wasichana (Bweni) vimefikia hatua ya Msingi.

                                                                                      Matundu 8 ya vyoo vya wavulana yamefikia hatua ya Lenta

Matangazo

  • Orodha ya Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga Kidato cha Kwanza Mwaka 2021,Mkoa wa Geita. December 18, 2020
  • Tanzia July 02, 2020
  • Matokeo ya Kidato cha Sita 2020 August 21, 2020
  • Tangazo la Nafasi za Kazi za Muda September 22, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Taarifa ya utekelezaji wa mpango wa maendeleo wa Halmashauri ya Bukombe kwa mwaka 2020/2021

    November 10, 2020
  • DC Nkumba atoa pongezi kwa NHIF

    August 30, 2020
  • DC Nkumba aishukuru Benki ya NMB

    August 29, 2020
  • "Uchaguzi hausimamishi shughuli za Maendeleo" DC Nkumba

    August 21, 2020
  • Tazama zote

Video

Mweka Hazina na Wahasibu watakiwa kutimiza wajibu wao
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mfumo wa Bajeti(Planrep)
  • Mfumo wa Fedha Vituo vya kutoa huduma(FFARS)
  • MTUHA
  • Maktaba ya Picha
  • Ramani ya Bukombe
  • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Ushirombo

    Sanduku la Posta: S.L.P 02

    Simu ya Mezani: 028 2520704

    Simu ya mkononi: +255 (0) 622 295619

    Barua Pepe: ded@bukombedc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • M.M.M
    • Mpangilo wa Tovuti
    • Service

Hatimiliki(c) 2017 Halmashauri ya Bukombe. Haki zote zimehifadhiwa